Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Dakika 4 za kucheki Yamoto Band walichokifanya kwenye hii video ya Niseme.

yamoto 
Miongoni mwa band ambazo ni changa zilizoleta changamoto ni hii kutoka Temeke yenye  vijana wasiozidi miaka 25 ambao wako chini ya Mkubwa Said Fela wakiongozwa na Aslay.
Aslay ambaye Tanzania na nje ya Tanzania tulimfahamu kwa single yake ya Naenda Kusema kwa mama ingawa kwa wakati huo alikua anajiita Dogo Aslay,ameungana na wenzake wa3 na kutengeneza kundi lao.

Hii ni singo ya 4 kwa mfululizo wa singo zao kuanzia Yamoto,Birthday,Nibemende na hii Niseme,karibu uitazame.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top