Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Breaking News: Danny Welbeck amesaini Arsenal

IMG_6924.JPG
Mshambuliaji wa kimataifa wa England na Manchester United Danny Welbeck amefuata mkumbo wa kundi la wachezaji walioihama Man united wiki hii.
Baada ya Shinji Kagawa, leo hii imethibitishwa rasmi Danny Welbeck amejiunha na klabu ya Arsenal.

Welbeck ambaye alijiunga na United tangu alipokuwa na miaka 7, amejiunga na Arsenal kwa ada ya uhamisho wa £16m na akisaini mkataba wa miaka minne.
Welbeck ameshaichezea Man united mechi 142 huku akifunga jumla ya mabao 29.

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright BONGO HABARI
Back To Top