Waziri wa Ushirikiano wa
Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta akijibu hoja za wabunge kabla
Bunge halijapitisha Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki kwa Mwaka 2014/2015.
Maofisa wa wizara ya
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki wakiwa pamoja na Wabunge wa Afrika ya
Mashariki wakifuatilia kikao cha Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa
Afrika ya Mashariki kwa
Mwaka 2014/2015.
Waziri wa Ushirikiano wa
Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta akijadiliana jambo na Katibu Mkuu
wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,Joyce Mapunjo mara baada
ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
Wabunge wa Afrika Mashariki wakiwasili Bungeni Mjini Dodoma.
Mbunge wa kuteuliwa Mhe.James Mbatia akifurahia jambo na Mhe.Shyrose Banji Mbunge wa Afrika Bunge la Afrika ya Mashariki.
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,Joyce Mapunjo (kulia) akijadiliana
jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mhe.Samia
Suluhu (kushoto) na Mhe.Celina Kombani.
Mbunge wa
Chalinze,Mhe.Ridhiwani Kikwete (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa
Bunge la Afrika ya Mashariki,Mhe. Shyrose Banji
Wanachuo kutoka Chuo cha
Mipango Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja nje ya viwanja vya Bunge
wakati walipofanya ziara ya kimafunzo Bungeni na kufuatilia Bajeti ya
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa Mwaka 2014/2015.
Wanachuo kutoka Chuo cha
Uuguzi Mirembe Dodoma wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya viwanja vya
Bunge wakati waliofanya ziara ya kimafunzo Bungeni na kufuatilia Bajeti
ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa Mwaka 2014/2015 .
Waziri wa Ushirikiano wa
Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta na Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki ,Joyce Mapunjo wakiwa kwenye picha ya
pamoja na Maofisa wa wizara yake pamoja na Wabunge wa Afrika ya
Mashariki mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano
wa Afrika ya Mashariki kwa Mwaka 2014/2015.
Post a Comment