1: MISULI YA UKE WAKE ITAKUWA INAKAZA NA KUACHIA..
Mwanamke akiwa anakaribia kucum,kwa ile raha atayokuwa
anasikia,automatically na hatoweza kujizuia,atajikuta misuli ya uke wake
itaanza kukaza na kuachia,itaanza taratibu lakini kadri anavyokaribia
kufika kileleni na speed ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke wake
itakuwa inaongezeka.
Ninaposema
misuli ya uke wake itakuwa inakaza na kuachia,namaanisha,mashine ya
mwanaume ikiwa ndani ya uke wake,akiwa anakaribia kufika
kileleni,utaanza kuhisi uke wake unaibana mashine yako kwa sekunde
kadhaa,kisha inaachia ( kitendo cha uke wake kuibana na kuiachia mashine
yako kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka afike kileleni )
2: UKE WAKE UTAZIDI KULOA AU ATASQUIRT..
Kwa kutumia maana ambayo haiko complicated sana,kusquirt ni kitendo cha
mwanamke kukojoa akifika kileleni wakati wa kupeana raha na
utamu..G-spot ikipata msuguano wa kutosha hapo mwanamke ataweza kusquirt
na ndio maana hamu ya kukojoa wanawake wengi wanaipata katikati ya
tendo la kupeana raha na utamu,Wengine wanaweza kuipata wakati wa
maandalizi kama mwanaume akiweza kuichezea vizuri G-spot ya mwanamke.
G-spot ikipata msisimko wa kutosha inatoa taarifa kwa Female
Prostate,Female Prostate hutengeneza hayo majimaji,yakiwa
tayari,utajisikia kukojoa,ukijiachia ili yatoke yatapitia kwenye urethra
kama mkojo lakini sio mkojo.
Asilimia kubwa ya wanawake,wakati wa
kupeana raha na utamu kuna muda huwa wanajisikia kama kukojoa,huomba
wakakojoe lakini kumbe ni majimaji ya kusquirt,hivyo muda mwingine kabla
ya kumake love,kojoa kabisa ili kibofu chako cha mkojo kiwe empty ili
katikati ya tendo ukisikia kukojoa,ujue unakaribia kusquirt,kwa hiyo
jiachie ili uweze kupata raha na utamu wa kufika kileleni kwa njia ya
kusquirt.
**Sio wanawake wote wanaweza kusquirt,kama ikitukea
hujaweza usijisikie vibaya,unatakiwa kujijua kuwa upo katika kundi la
wale wanawake ambao wakifika kileleni uke wao unazidi kulowa badala ya
kusquirt.
3: KELELE NA MIGUNO YA KIMAHABA LAZIMA ITAZIDI..
Kama mwanamke wako ni full makelele mwanzo mpaka mwisho basi itakuwa
sio rahisi kujua kama makelele ama miguno anayotoa sasa yanaashiria
amefika kileleni au ni sehemu tu ya kupeana raha na utamu,Lakini
wanawake wengi wanadanganya kwa kutumia kipengele hiki,lakini utajua
kuwa anadanganya pale makelele ama miguno yake yakiwa ktk MPANGILIO
unaoeleweka kwa mfano ( ooh,yeah,ooh,yeah,ooh,yes )kama cd
iliyorekodiwa.
Makelele ya kufika kileleni mara yanakuwa
HAYAELEWEKI ,na wala hayana mpangilio,mara nyingi yanakuwa deep
yakiambatana na BODY LANGUAGE inayoendana na makelele au miguno
anayotoa,Tofauti na hapo ujue unadanganywa..
4: CHUCHU ZAKE ZINAZIDI KUWA NGUMU..
Kwa kawaida mwanamke anapokuwa anazidi kupata hamu ya kupeana raha na
utamu,Matiti yake huvimba kwa sababu ya ongezeko la speed ya mzunguko wa
damu mwilini,Lakini chuchu zake zinakuwa zipo kawaida,Ingawa wapo
baadhi ya wanawake chuchu zao zinakuwa ngumu pale matiti yakivimba ( Ni
wachache sana sio wote ).Kwahiyo inabidi ujue mapema kabla hata ya tendo
la kupeana raha na utamu halijafika katikati,pale mwanzoni tu unapokuwa
unapasha nae joto,ziguse au ziminye chuchu zake taratibu kama ukizikuta
ni LAINI,halafu baadae katikati ya tendo zikabadilika zikawa ngumu basi
ujue kuna uwezekano ama ulifanikiwa kumfikisha kileleni au alikaribia
kufika lakini hakufanikiwa.Kama ukizikuta ngumu tokea mwanzoni basi
haitowezekana tena kuzitumia chuchu kama dalili ya kukujulisha kuwa
amefika kileleni au bado.
5: LUGHA YA MWILI ( BODY LANGUAGE )
Akiwa anakaribia kufika kileleni au akiwa ndio amefika kileleni utakutana na bofy language zifuatazo:-
*Atakuwa anahema haraka kwa sababu internal organs na muscles zake zinahitaji oxygen zaidi ili aweze kufika kileleni salama.
*Atazidisha kujikunja kunja au kujisogeza kwako ( akiwa ametulia tu ujue bado,ongeza bidii )
*Mikono yake itakunja kunja au kufinya shuka.
* Kama mpo kwenye staili ya kifo cha mende,utashangaa ghafla ataanza
kukukumbatia na kukushikilia kwa nguvu,kama kucha zake ni ndefu
atakuachia alama kadhaa mgongoni au kifuani na saa nyingine anaweza
akashindwa kujizuia akakung'ata.
Kama tokea uzaliwe hujawahi
kukutana na mambo haya wakati wa kupeana raha na utamu basi ujue kuna
uwezekano mkubwa hujawahi kufika kileleni ( kama ni mwanamke ) au
hujawahi kumfikisha mwanamke kileleni ( kama ni mwanaume )..
Endelea kujifunza zaidi ukiwa na nia ya dhati kwani kila kitu kinawezekana.
Loading...
Post a Comment